AUDIO : TIFFAR DIVOICE ~ MAMA

Tiffah Divoice – MAMA

Pakua wimbo mpya wa Tiffah Divoice unaoitwa “MAMA”. Huu ni wimbo wa Singeli wenye hisia kali unaomuenzi mama na kuzungumzia maumivu ya kumpoteza mzazi pamoja na thamani ya upendo, malezi na ulinzi wa mama. Licha ya kuwa na mdundo wa Singeli, ujumbe wake unagusa moyo wa msikilizaji.

Artist: Tiffah Divoice
Song: MAMA
Genre: Singeli
Quality: MP3 Audio
Website: YUZOKHANMEDIA.COM



⬇️ DOWNLOAD MP3

R :

RELATED : Ibraah ft zuchu ~uhakika remix

Share this content: