yuzokhanmedia.comYuzokhanmedia.com

Msanii maarufu wa Bongo Fleva Marioo ameshirikiana na D Voice katika wimbo unaoitwa Watu. Wimbo huu una ujumbe unaogusa wanawake waembamba kwamba hawahitajiki kwenye dunia au wangetiwa jela eti kisa hawana nyaashi
Pakua na usikilize Marioo Ft D Voice – Watu mp3 kwa ubora wa hali ya juu kupitia Yuzokhanmedia.com

WhatsApp YouTube
RSS
Follow by Email