AUDIO : DRIM BOY – USIJE MJINI
Drim Boy – Usije Mjini (Official Audio)
Pakua wimbo mpya wa Drim Boy unaoitwa “Usije Mjini”. Wimbo huu unatoa ujumbe kuhusu changamoto za maisha ya mjini, ukiwakumbusha vijana kutokurupuka kuhamia mjini bila maandalizi au malengo ya wazi. Ukiwa na mashairi yenye mafunzo na mdundo unaovutia, ni wimbo unaogusa maisha halisi ya watu wengi.
Artist: Drim Boy
Song: Usije Mjini
Genre: Hip Hop
Quality: MP3 Audio
Website: YUZOKHANMEDIA.COM
⬇️ DOWNLOAD MP3
Share this content:



Post Comment
You must be logged in to post a comment.